Wednesday, September 4, 2013

BABA LEVO ALALAMIKA KUIBIWA KIITIKIO CHA NYIMBO ALIYOPANGA KUSHIRIKIANA NA DIAMOND

HAYA Ni mneno aliyoyaandika BABA LEVO kwenye profile yake ya Facebook baada ya kugundua ameibiwa kiitikio na Msanii Mwenzake!
"ZAMANI nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia. Nilikuwa naona ni kama maigizo na mtu kutafuta kick ya kupandia .ila leo nasema wazi DAIMOND PLATNUM amechukua korasi ya wimbo wangu niliopanga kufanyanae unaitwa SWEATY SWEATY na kuiimba kwenye wimbo wake mpya NO 1 .. kanizungusha sana kumbe alikuwa na lengo lake...ila baridaa maisha yanasonga..."

Lakini hata hivyo  Dayna naye alilia kuwa aliibiwa nyimbo na Diamond!!!!....
 

Story kamili hii hapa >>>

No comments:

Post a Comment