Monday, March 11, 2013

FIFA YAITUMIA BARUA TANZANIA, Yaeleza kusudio la kuifungia kwenye soka.

SHIRIKISHO la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema litaifungia Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

Sunday, March 10, 2013

RAIS WA ZAMANI WA SOUTH AFRICA (MANDELA) ALAZWA


Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela amelazwa hospitalini kwa kile kinachoelezwa kwamba ukaguzi wa afya yake ambao ulikuwa umepangwa kabla.

MBIO ZA NYIKA ZAFANYIKA, DICKSON MARWA AKISHINDA KILOMETA 12


 DICKSON MARWA AKIMALIZA
 WANARIADHA WA KILOMETA 12 KATUIKA MBIO ZA NYIKA
WANARIADHA WA KILOMETA 12 WALIPOANZA KUTIMUA MBIO