Charles Kanumba |
Baba wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba,
Charles Kanumba ametoa ofa kwa wanawake wanaohitaji kuzaa watoto kama
marehemu mwanaye wamuone ili awape uzao wake.
Akipiga stori na paparazi wetu, baba Kanumba alisema amefikia hatua
hiyo kutokana na usumbufu anaoupata kwani tangu Kanumba alipofariki
dunia wamejitokeza mabinti watano wakidai kuwa ni watoto wake wakati si
kweli bali wanahitaji uzao wake.
“Nimechoka kila kona wanatoka vijana na kusema mimi ni baba yao tangu
Kanumba alivyofariki dunia. Kama kuna mwanamke anayehitaji uzao wangu,
namkaribisha aje nimpe na watoto atakaowazaa watakuwa maarufu sana,”
alijigamba baba Kanumba.
No comments:
Post a Comment