Rizespor Uche Kalu |
Mnigeria huyo amejiondoa katika kikosi hivyo kutokana na kusumbuliwa na nyonga. Itakumbukwa kwamba mchezaji huyo wa zamani wa Klabu ya Enyimba alipatwa na majerha hayo majuma machache yaliyopita lakini Daktari wa timu aliweza kumsaidia na kumpatia huduma ambayo ilimfanya aonekane nafuu. Pia Uche Kalu alikosa mechi ya Kirafiki siku Jumatano dhidi ya Catalonia.
Timu ya Taifa ya Nigeria inaongozwa na Kocha Stephen Keshi
No comments:
Post a Comment