Leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii
mwigizaji Hemedy Suleiman maarufu kama Hemedy au Fernando (a.k.a yake
mpya) amesema kuwa hatavaa tena hereni kwenye kuigiza kwani ameshakuwa
mtu mzima sasa.
Hemedy ambaye hivi majuzi alisherehekea kutimiza miaka 27 ya
kuzaliwaameandika kuwa kama mtu mzima, hata vaa tena hereni katika movie
zake. Hatujaweza kujua kama ataacha kabisa kuvaa hereni au ni kwenye
uigizaji tuu
Unalizungumziaje suala hili, Je, kuna umuhimu wa wasanii kuvaa hereni Tanzania?
No comments:
Post a Comment