Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Mzuri wilaya ya Kusini Unguja,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama leo.
Vijana wa CCM katika Kijiji cha Bwejuu,wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipotembelea katika Tawi la CCM la Kijiji hicho akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Bwejuu kaskazi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Tawi lao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Wanachama wapya wa CCM wakilakiapo cha Utii kwa Chama cha Mapinduzi baada ya kukabidhiwa kadi zao za Chama na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipofanya ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Kusini Unguja leo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa Tawi la CCM Bwejuu kaskazi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza wakati alipotembelea Tawi lao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment