Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mke wa Rais
Mama salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa marehemu, Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa
Waziri Mstaafu, Maokola Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza
lenye mwili wa marehemu, Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa
Waziri Mstaafu, Maokola Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akiwafariji wafiwa wakati alipofika kuaga mwili wa
marehemu, Meinrad Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu,
Maokola Majogo, aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya
kuagwa mwili wa marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wafiwa wakati alipofika kuaga mwili wa marehemu, Meinrad
Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu, Maokola Majogo,
aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili wa
marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, mke wa Rais
Mama salma Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, wakijumuika na
waombolezaji wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu, Meinrad
Diones Maokola, ambaye ni Kaka wa Waziri Mstaafu, Maokola Majogo,
aliyefariki jana jijini Dar es Salaam. Shughuli ya kuagwa mwili wa
marehemu ilifanyika Masaki jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment