KAMPUNI YA NOKIA YANUNULIWA NA KAMPUNI YA MICROSOFT
Kampuni ya Microsoft yanunua kampuni ya simu ya Nokia. Nokia ambayo imekuwa ikiongoza kwa kuuza simu zake, imekuwa ikisuasua hivi karibuni kutokana na simu mpya za kisasa kama vile iPhone. Je bado unatumia Nokia, au za kisasa- smartphone?
No comments:
Post a Comment