Contacts; Tel: +255 652282460 Email: philelykme@gmail.com
Pages
PHILE DESIGNINGS
HABARI / NEWS
MICHEZO
MAKALA
PICTURES
WATU MAARUFU
FUNNY MESSAGES
Friday, April 26, 2013
PICHA MBALIMBALI ZA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM JANA TAREHE 26/APRIL
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam jana 26/April kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
Wingi wa watu ulikua si hali ya kawaida
Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
Ndege za kivita zikifanya maonesho katik sherehe za Miaka 49 ya Muungano jijini Dar es salaam Jana April-26
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment