Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa Tanapa Jumapili Desemba 22, 2012 atoa mchango wa milioni 30 ili kuzindua boma maalumu la kulea na kuhifadhi mbwa mwitu kuashiria rasmi kuachiwa huru kundi la pili la wanyama hao (15) waliokuwa wamehifadhiwa kwa miezi kadhaa kwenye boma maalumu la mradi huo, lililojengwa katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment