Mheshimiwa Godbless Lema awa tena mbunge wa Arusha
Mheshimiwa Godbless Lema
Mahakama ya Rufaa imempa ushindi Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godless Lema (CHADEMA), aliyekuwa amefungua kesi ya kupinga maamuzi ya Mahakama Kuu ya Arusha iliyokua imefuta Ubunge wake wa Jimbo la Arusha mjini.
No comments:
Post a Comment